Dida alisema kuwa yuko katika jitihada za kuunda muungano mpya utakaowahusisha viongozi kutoka katika vyama mbali mbali.
Aidha, Dida pia alikutana na aliyekuwa waziri na mgombea mwenza katika uchaguzi wa 2013, James Ole Kiyapi na mwanasheria Ekuru Aukot.
Dida vile vile aliwataja Maryam Sheikh, Amina Guyo na Esther Ali Ibrahim kama walio na uwezo wa kuungana naye 2017
No comments:
Post a Comment